Ufungamanisho wa Fonolojiya Othografiya na Teknolojiya katika Kukiyand̪ika Upya Kiswahili Sanifu; Kujiokowa na Kuokowa Mustakabali wa Lahaja-Dadaze
نویسندگان
چکیده
Lahaja za kiAmu, kiMvit̪a zafa, na lahaja nyenginezo kiSwahili yasemekana zishakufa. Makala haya yanaonesha kuwa usuli wa matatizo ni mapungufu ya juhud̪i kukisanifisha wakat̪i ukoloni. Vigezo va uwamilifu kut̪afaut̪isha maana, kiwango cha matumizi saut̪i hiyo katika lugha, mambo yaliyopuuzwa Kamati Lugha kwa sababu kut̪afut̪a unafuu kusanifisha. Tukifuwatʰa nadhariya-tʰetʰe Kina Othografiya, hizi amilifu tumeziyonesha zachʰangiya kusoma maand̪ishi yaliyoand̪ikwa lugha yenye othografiya maonroni, yaani, kuna mnasaba moja kati kiwakilishi chake kihati; kitamkwavo nrivo kiyand̪ikwavo. Kwengezeya, mfumuko TEKNOHAMA umeipa t̪ena, kiSwahili, nafasi kufaid̪ika kutiya kila kʰitʰu nukt̪̪a kimahesabu hivo kurahisisha utambuzi urahisi kuzitumiya masomi shuleni kwenye t̪afsiri mashine makala kiSwahili. Ikawa nat̪ija ipatikanayo kukiokowa kiSanifu kut̪okana kuziokowa dada zake. Lakini zaid̪i, kupatikana ut̪angamano zot̪ʰe nchini Kenya utambulisho muwafaka Jumuiya Afrika Mashariki.
منابع مشابه
Dake-wa : Exhaustifying Assertions
Following the structure meaning approach (c.f. [3,4]), I argued in [5] that the prosodic peak of Contrastive-marking creates a partition of the asserted proposition into B (background) and F (Focus). The morphological wa-marking then introduces the Con operator that takes the structured meaning as its argument and yields a conventional implicature. The Contrastive-marked sentence presupposes th...
متن کاملWestern Australia , Perth , WA , Australia
We have recently suggested that numerosity is a primary sensory attribute, and shown that it is strongly susceptible to adaptation. Here we use the Method of Single Stimuli to show that observers can extract a running average of numerosity of a succession of stimuli to use as a standard of comparison for subsequent stimuli. On separate sessions observers judged whether the perceived numerosity ...
متن کاملWa Cannabis Cautioning and Mandatory Education System
2 Introduction There is a lot of concern among many specialists within the drug environment that the health and social detriment of applying the law against cannabis users may be as significant as those that flow directly from cannabis use itself. A number of States and Territories have adopted differing legislative and regulatory models incorporating either infringement notices or formal cauti...
متن کاملJapanese Wa-phrases That Aren't Topics*
The Japanese particle wa is widely considered a marker for topic. This paper presents new evidence that contrary to this general view, wa does not only mark topic, but it also marks items that are simply discourse anaphoric. The evidence comes from the observation that a wa-phrase displays distinct syntactic behaviour depending on whether it is interpreted as a topic or discourse anaphoric. It ...
متن کاملذخیره در منابع من
با ذخیره ی این منبع در منابع من، دسترسی به آن را برای استفاده های بعدی آسان تر کنید
ژورنال
عنوان ژورنال: East African journal of Swahili studies
سال: 2022
ISSN: ['2707-3467', '2707-3475']
DOI: https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.803