نتایج جستجو برای: kiswahili
تعداد نتایج: 182 فیلتر نتایج به سال:
Utafiti huu unalenga kuchanganua na kuchunguza makosa ya kimatamshi yanayofanywa wanafunzi wa Libya wanapojifunza kiswahili. Ili kutekeleza kazi hii, nadhariatete zilijadiliwa, ikiwa ni pamoja kuwa chanzo cha matatizo hayo kutokana sababu kadhaa, zikiwemo tofauti za mfumo kifonolojia baina lugha Kiarabu Kiswahili, Matamshi sauti zinazopatikana katika Kiswahili hazipatikani Kiarabu, Athari matam...
The existing literature on Bantu verbal semantics demonstrated that inherent semantic content of verbs pairs directly with the selection of tense, aspect and modality formatives in Bantu languages like Chasu, Lucazi, Lusamia, and Shiyeyi. Thus, the gist of this paper is the articulation of semantic classification of verbs in Kiswahili based on the selection of TAM types. This is because the sem...
In this paper we present experiments with data-driven part-of-speech taggers trained and evaluated on the annotated Helsinki Corpus of Swahili. Using four of the current state-of-the-art data-driven taggers, TnT, MBT, SVMTool and MXPOST, we observe the latter as being the most accurate tagger for the Kiswahili dataset.We further improve on the performance of the individual taggers by combining ...
Lahaja za kiAmu, kiMvit̪a zafa, na lahaja nyenginezo kiSwahili yasemekana zishakufa. Makala haya yanaonesha kuwa usuli wa matatizo ni mapungufu ya juhud̪i kukisanifisha wakat̪i ukoloni. Vigezo va uwamilifu kut̪afaut̪isha maana, kiwango cha matumizi saut̪i hiyo katika lugha, mambo yaliyopuuzwa Kamati Lugha kwa sababu kut̪afut̪a unafuu kusanifisha. Tukifuwatʰa nadhariya-tʰetʰe Kina Othografiya, hizi amil...
This paper introduces a computational method for testing dictionaries. It discusses the implementation of this method on testing five current dictionaries of Swahili and provides a number of test results. The tested dictionaries are Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI), Kamusi ya Maana na Matumizi (OUP), Modern Swahili Modern English Dictionary (MStryck), Kamusi ya Kiswahili Kiingereza (TUKI), and...
BACKGROUND The objective was to study whether a Kiswahili version of the OIDP (Oral Impacts on Daily Performance) inventory was valid and reliable for use in a population of older adults in urban and rural areas of Tanzania; and to assess the area specific prevalence, intensity and perceived causes of OIDP. METHOD A cross-sectional survey was conducted in Pwani region and in Dar es Salaam in ...
We report on the Local Language Speech Technology Initiative, which is producing the TTS required for voice information systems in the developing world. We overview the whole process now the initial phases of Hindi, isiZulu, Kiswahili and Ibibio are complete, outline some applications we are targeting, and draw some lessons for the future.
Utafiti huu unaeleza changamoto zinazowakumba wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini katika ushairi wa Kiswahili. ulilenga kuchunguza zinazokumba Kiswahili shule ya upili. Nadharia Uchanganuzi Makosa ilielekeza utafiti huu. ulifanywa upili Fanaka (jina la msimbo) kambi Kakuma, Kaskazini Magharibi mwa Kenya. Data ilikusanywa kupitia mahojiano, uchunzaji na uchanganuzi matini. Matokeo yalibaini ...
نمودار تعداد نتایج جستجو در هر سال
با کلیک روی نمودار نتایج را به سال انتشار فیلتر کنید