“My friend always tells me of how good it is... sweet when will I know these things?”
 Ulimwenguni, tafiti kuhusu tabia za wazulufu zimebainisha kuwa hushiriki ngono mapema licha ya ujamianaji kabla ndoa kukashifiwa. Imegunduliwa utamaduni, matumizi lugha na miktadha kijamii huwa nafasi muhimu katika kuelewa kuthibiti mahusiano ushiriki wa ngono. Hata hivyo, ni kweli kutokana mabadiliko ja...